Kuhusu Da3wah Yetu
Kuhusu Da3wah Yetu.
Hii ndio Da3wah yetu: Kulingania katika Kitabu na Sunnah kwa ufahamu wa watu wema waliopita bila kuingilia maswala ya siasa.
Twalingania da3wah ya Mitume: Kuamrisha Tawhid na kukataza ushirikina pia kukataza Bid’ah (uzushi) na kila jambo lisilo na asli katika dini
Da3wah yetu inalingania Itikadi swahih na manhaj swahih ya Mtume Muhammad na Maswahaba wake,manhaj inayokataza uhizbiyyah na kila fikra mbaya zinazoletwa katika dini.
Website hii tumeiita assalafiyyah.com kwa sababu ya Kujinasibisha na watu wema Waliopita Ambao ni Maswahaba, Na Tabi’in Na Atba’ Tabi’in